NECTA YATANGAZA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2026
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) kwa mwaka 2026, uliofanyika kuanzia Septemba 9, 2026.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumanne, Novemba 3, 2026, na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Profesa Said Ally Mohamed.
Wanafunzi, wazazi na walezi sasa wanaweza kuanza kuangalia matokeo hayo kupitia mfumo rasmi wa NECTA ili kufahamu ufaulu wa watahiniwa katika mtihani huo wa kitaifa.
👇👇👇👇👇
Tags
Note Book
